Description
Miungu wa Kale ni hadithi ya Kuni ambayo imeathiriwa na uasilia wa mambo. Hadithi inanonyesha umuhimu wa kuzitii Mila na desturi za Kiafrika.Kijiji cha Kiundu kilikengeushwa na dini za ukoloni. Baada ya kupitia taabu, wanaamua kuzirudisha Mila zao hasa Ile ya kupiga mbuzi
Reviews
There are no reviews yet.